Jumamosi, 6 Juni 2015

TUNZA MAZINGIRA YAKO KAMA KIONGOZI NAWE YAKUPE UHAI

"MAZINGIRA BORA YANAONGEZA UHAI KWA MWANADAMU...JALI UHAI WAKO KWA KUYAJALI MAZINGIRA YAKO"

Nachingulu yazidu,
June,2015
 
contacts:+255652167903
+255688000590
 
sponsored by Tukide-company -(mtwara brach)
 
 
Ni jambo la kusikitisha kuona kumba ijapokuwa elimu juu ya utunzaji wa mazingira imekuwa ikitolewa na mashirika ya kimataifa na yale ya kiserikali juu ya utunzaji wa mazingira yetu, bado wanadamu tumekuwa waharibifu wakubwa wa mazingira hayo.
 kwamujibu wa riport hii , utafiti umeonyesha kuwa mwanadamu ndie chanzo kikuu cha uchafuzi na uharibifu wa mazingira. katika utafiti uliofanika eneo la shanghani, feli na kiangu( maeneo yalioko katika mkoa wa Mtwara). inaeleza bayana kwamba wanajamii wanaoshi katika maeneo haya wamekuwa wakiharibu mazingira ama kwa kuto kujua, kukuwa kwa mji na maendeleo ya mji na watu( urbanization) au kwa makusudi kwa kuchoma taka ovyo taka ambazo zinasababisha kuongeza sumu kali katika tabaka la hewa kwa lugha ya kitaaramu linaitwa (ozone layer), tabaka ambalo ni muhimu sana katika kulinda maisha ya viumbe hai ambayo kwa ujumla wake ndio wanatengeneza neon mazingira.
ZINGATIO KWA HALMASHAURI
          Ombi zito kwa halmashauri ya mkoa wa mtwara, waache kuongeza madampo ya kuchomea taka na kukusanyia taka na badala yake iwekeze katika kuwahamasisha wanajamii kutojihusisha kabisa na bidhaa za plastic ambazo ni (inorganic matters ) zikiwepo plastic bags( mifuko ya plastiki). wakati inashawishi hivyo, vilevile inabidi ifunge uingizaji wa bidhaa hizo moJa kwa moja ndani ya manispaa hii.
 
FAIDA ZAKE KWA MAENDELEO YA MANISPAA NA WANAJAMII
  1. KUKUA KWA BIASHARA MUHIMU ZILIZOFICHIKA
          Faida ya kwanza kabisa nishati anuahi kama vile nishati ya jua na upepo zitatumika katika kukuza biashara zitokanazo na uwepo wa bidhaa hizo kwa mfano SOLAR zitauzika kwa wingi hivyo kufanya mji ukuwe kiuchumi kwai mapato yatakusanywa kwa wingi kutokana na bidhaa hizo kuliko hivi sasa.
     2. KUPUNGUZA GHALAMA ZISIZO NA LAZIMA KWA SERIKALI
Mara baada ya kupigwa marufuku bidhaa za plastic na zenye kufanana nazo kama vile za vioo na chemikali, serikali haitajikita tena katika kujenga na kukarabati madampo kila mwaka hivyo fedha ambayo ingetumika kufanyia shughuli hiyo itakuwa imesalimika na hivyo itatumika katika suala lingine muhimu la kiserikali.
    3. KUIPA MANISPAA HADHI YAKE
Manispaa ya mji wa Mtwara haukustahili uenekane kama ilivyo sasa, kama viunga vichafuzi kama madampo vingeondolewa katika eneo a manispaa. madampo yanachafua vingi sio hadhi ya muonekano tu, la hasha hata tabaka la hewa huwa linachafuliwa na harufu au hewa mbaya inayoelea angani kutoka katika madampu hayo.
     4. KUPUNGUA KWA MAGONJWA YA MRIPUKO
Magonjwa kama kipindupindu huenezwa nauchafu unaolundika sehemu Fulani kama vile kwenye madample na maeneo mengine, hivyo ni wadhi serikali iangalie tena ujenzi huu wa madapo unaoendelea usizidi mpaka, iangalie tena na tena juu ya mpango huo.
 "ANGALIZO HAYO NI MAONI KWA VIONGOZI AMBAO NDIO WATEDAJI WAKUU, KAMA YAKIWAHUDHI TAFADHARI TOA MAONI YAKO NA SIO KUCHUKIANA"

KWA PAMOJA TUYATUNZE MAZINGIRA YETU
 
Nachingulu Yazidu H 
July, 2015
 

Maoni 1 :